Marashi Ya Pemba Lyrics
- Genre:Holiday
- Year of Release:2019
Lyrics
Marashi Ya Pemba - International Orchestra Safari Sound
...
...
Alfajiri upepo was bahari umenijia
Nikaona nyota ya kanda ya mashariki
kuishi visiwani mama ah kuna utamu wake
Unguja Pemba Zanzibar visiwa vya kwetu ee
Siku nitafika Pemba binti si utaafani
siku nitafika Pemba binti si utaafani
siku nitafika Pemba binti si utaafani
nitembeze sehemu zote hadi mwisho
kuishi visiwani mama ah kuna utamu wake
Unguja Pemba Zanzibar visiwa vya kwetu
(marashi ya Pemba, Zanzibar)
...
alfajiri upepo was bahari umenijia
nikaona nyota ya kanda ya mashariki
kuishi visiwani mama ah kuna utamu wake
Unguja Pemba Zanzibar visiwa vya kwetu ee
siku nitafika Pemba binti si utaafani
siku nitafika Pemba binti si utaafani
siku nitafika Pemba binti si utaafani
nitembeze sehemu zote hadi mwisho
kuishi visiwani mama ah kuna utamu wake
Unguja Pemba Zanzibar visiwa vya kwetu ee
...
wallahi sitabaki naenda Pemba ndege itaruka
wallahi sitabaki naenda Pemba ndege itaruka
nasikia ni kuzuri
jioni kuna upepo
eti kunanukia ah
marashi ya karafuu
nipae angani, nikatishe bahari
juu kwa juu nione, halafu itue Pemba
marashi ni kote, Pemba oh Pemba
wallahi sitabaki naenda Pemba ndege itaruka
wallahi sitabaki naenda Pemba ndege itaruka
nasikia ni kuzuri
jioni kuna upepo
eti kunanukia ah
marashi ya karafuu
nipae angani, nikatishe bahari
juu kwa juu nione, halafu itue Pemba
marashi ni kote, Pemba oh Pemba
wallahi sitabaki naenda Pemba ndege itaruka
Wallahi sitabaki naenda Pemba ndege itaruka
nasikia ni kuzuri
jioni kuna upepo
eti kunanukia ah
marashi ya karafuu
(uuuuuh)
Pemba Pemba Pemba Zanzibar
...
ee mama yolele
ee mama yolele
ee mama yolele
ee mama yolele
...
ee mama yolele
ee mama yolele
nasikia ni kuzuri
jioni kuna upepo
eti kunanukia ah
marashi ya karafuu
...
chuku ma wee
kana chuku ma wee
chuku ma yee
chuku bwana ya yee