This Gender Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2022
Lyrics
This Gender - Sheddy Ke
...
Fatuma, si nilituma ya kutolea,
Mbona hufiki feelings zimenikolea
Na siulisema kwamba utanichorea
Ukifika stendi mama utaningojea aaah
Na Hiyo siku nlituma mpaka chipo take away
Nkasema usichoke ka kwa games za away
Ni mwezi sasa she's on her way
Eti ana haya kusema alikula fare Fatuma aaah iiih
(Gonya mwambe alume ni abaya)
This gender is no more fair
this gender inakula fare
This gender is no more fair
this gender inakula fare
Inasikitisha
mtu anapovunja makubaliano
baada ya kumfanyia alichokitaka
So painful
Kama ya kusukwa jama nilimpatia
Afike kwangu akiwa anavutia
Ata dera nlimgharamikia aaaah eeeh iiih
Kama hakumake mbona hakuniambia
Aliniblock nisije kumpigia
Bila haya matusi kunishushia
Vimeseji kuniipiga blue tiki
Fatuma ntakupeleka kwa babu
Fatuma ndakuhirika kwa tsawe
(kwanoni be unidhulumu kiasi kino,kwanoni)
This gender is no more fair
This gender inakula fare
This gender is no more fair
this gender inakula fare
This gender is no more fair
this gender inakula fare
This gender is no more fair
this gender iinakula fare eeeeh iiih
eeeh
Sheddy
Producer Melody