Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2022

Lyrics

Sisi Ndio Tupo ft. Slimsal - Fivara

...

A piece of pie music

Know what am saying (sisi)


Aahh

Mnataka wembamba warefu

Light skin niggas wenye ndevu

Wenye Mali wenye magari, God fearing

wanaopenda kusali

Wenye degree, Corporate niggas

Wenye CV

Lakini mkija kurudi kwa street

Mnakuta manniga ambao hatuna madeal

Tuna hustle for meal


Sisi ndio tupo

Sisi ndio tupo

Sisi ndio tupo

Sisi ndio tupo


Mnataka six packs

Wanaotoa hela Wala sio kucheat chat

Wale walio loyal Wala sio ku heat that

Ambao sio wachoyo wanao spill cash

Romantic muitwe sweet hearts

Ila mnatukuta sisi wenye shit hearts

Chenga chenga nyingi mwendo wa this that

Mapenzi Kona nyingi Yani zig zag

Hakuna wa kudiscuss kwamba


Sisi ndio tupo

Sisi ndio tupo

Sisi ndio tupo

Sisi ndio tupo


Hi,

Hello dear sissy

Kama unatafuta wenye akili sio sisi

Wenye F,F D,D sio sisi

Najua kuwa you don want F na C ila

You still get that D

na si tu, d**

Cause we si ni bad bitch, eyyy

Ata aje Hadi Nicki minaj pia

Asije peke yake aje na kina Barbie mia

Atatukuta sisi ndio wauaji, dear

Tuko stadi Shule kwa mafundi stadi, dear

Ah, unankumbusha high school

Binamu yangu alipata B,F,A,F

ilimpa tabu sababu ya kitabu

He commit suicide, and died

Eh, Sisi ndio tupo tusioogopa kufeli

Tukipewa F, we don give an f..

Hatuna kitu kwa mfuko tulikula school fees

Na bado hatufi, maisha marefu

Ndio sisi hao, hatukua na akili

Wala hatukupenda kusoma

Tulio Kula hela ya Caro ndo si

Tukaenda kuimaliza nyama choma

hahh..


Sisi ndio tupo, eyy

Sisi ndio tupo, tupogo

Bado tupo

Tupoogo, bado tupo (eyyy)

Tupoogo


Wa kuwapeleka Tipsy Kidimbwi (sio sisi)

Wanaoingia kingi kipimbi (sio sisi)

Big boys wanao chill na kulipa bill

Wala hawapigi filimbi (mh mh)

Mnataka maspoiler,

Watoto was Joshua Kama kuku ni broiler (mh wee)

Ila tupo wakora tunapigwa na jua tunachapa bakora

Mnaemtaka Rotimi mnaempata ni Juma

Mtalaumu nini ka option hakuna

Tunataka mapini tunampata Mwajuma

Tutalaumu nini ka option hakuna


Wanaonukia hawapo, Ila tupo tunaonuka majasho

Wanaovutia hawapo, Ila tupo tunaovutwa na tako


Sisi ndio tupo sisi ndio tupo

Sisi ndio tupo sisi ndio tupo

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status