Sishirikishi Mtu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Sishirikishi Mtu - Maarifa
...
naitwa maarifaaa
simshirikishi mtu ×3
nyimbo zangu kwa sas si shirikishi mtu
simshirikishi mtu ×3
namaliza mwenyewe si shirikishi mtu
nipo na rock don studio kinondon kuskiza beat naon kabisa anakaa moni alichonijibu sijuh ni malengo hayaon eti kurekod mpka twende majengo (dodoma)
noma chonda hoi pisha nikaona chapu nimcheki konde boy ticha hakunificha yan pale pale akaniambia (madee ni sawa na tale tale)
vita hapondipo nikaona nafas nikifanya na Nandi views ntaongeza kwa kasi sasa sijuh ni wasiwasi kasem mpak nikamuulie bil Nassi(Nengaa)
zuchu kasem safi ataimba na wimbo ameupenda atatimbaa siku ya kurekod ikatoke shida napiga sim mara enh akapokea simba
simshirikishi mtu ×3
nyimbo zang kwa sas simshirikishi mtu
simshirikishi mtu ×3
namaliza mwenyew sishirikishi mtu
kolabo kubwa kama tetema ama ntakiwe nikamcheki janja tupige kam Acha iwe nipo batan mamb ya mziki nisiambiw mwaka huu stoi nyimbo liwalo na liwe
Au nmchek Ben hatukosi trend tutaenda hata top ten mana kuhus Msechu msikilizen wimb wa mapenz ila mistar ya kampen
nikaiwazia singeli nkamchek makabila ndo nkaamin yule mwanang ni bila bila kwanz ana hila pili ana hasira mziki haumlip kageuz mapenz kuwa ajira
nikaona Roma enh mmh tutaua yani sasa kutorok marekan ananijua nani
Zaman ningemshirikisha marijan ila uhai kam moshi ukiend haurud yan
simshirikishi mtu ×3
nyimbo zang kwa sas sishirikishi mtu
simshirikishi mtu ×3
namaliza mwenyew sishirikishi mtu
(Beat By docto)
namaliza mwenyew sishirikishi Mtu