Umeinuka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Umeinuka - Amani & Zawadi
...
Amani en zawadi
nataka nikupende zaidi ya baraka zako
nikupendee zaidi ya miujiza yakooo
nikupendee zaidi ya baraka zakoo
nikupendee zaidi ya miujiza yako
ulinipenda kwanza miimii ukafanya nijitue
eeh eeh ulinipenda kwanza miimi
ukafanya nijitue eeh eeh
niende wapi nifanye nini nitafute wapi sitapata mwingine kama wewe mungu wanguu yahweeh
maana unatafuta watakao kuabudu kwa roho na kweli iiiih
umeinuka umeinuka milele eeh
sifa nakupa uhimidiwe milele eeh
umeinuka umeinuka sifa nakupa
uhimidiwe milele eeh
i wanna love you more en more
love you more en more
i wanna praise you more en more
praise you more en more
i wanna love you more en more
love you more en more
i wanna praise you more en more
praise you more en more
maana we ndiwe mungu mkuu
unastahili utukufu umetuonyesha
upendo mkuu kweli wewe ni mkuu
ulinipenda kwanza miimi
ukafanya nijitue eeh eeh
ulipenda kwanza mimi
ukafanya nijitue eeh eeh
niende wapi nifanye nini nitafte wapi
sitapata mwingine kama weuwe mungu
wanguu yahweh
maana unatafta watao kuabudu kwa
roho na kweli iii
umeinuka umeinuka milele eeh
sifa nakupa uhimidiwe milele eeh
umeinuka umeinuka milele eeh
sifa nakupa uhimidiwe milele eeh
umeinuka umeinuka milele eeh
sifa nakupa uhimidiwe milele eeh
UMEINUKA