Salama ft. Lj Gospel Music Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Salama ft. Lj Gospel Music - Hosma Vanny official
...
Hustle music
LJ Gospel Music
Instrument…………..
Jacob
Ame pambana pambana
Na watesi wangu Yesu
Ame pambana pambana
Na watesi wangu Yesu
Aduhi walijipanga aah Hao
Wale nyama yangu
Ila bwana ulisema (No)
Uwezi acha niangamieeeeh
Mana ni salama aaah
Mimi Sina Shaka nimevutwa chozi
Bwana kakunguta mavumbi
Mwilini mwangu uuuh
Bwana aaaah
Tena Sina Shaka nimevutwa chozi
Bwana kakunguta mavumbi
Mwilini mwangu mimi iyeeh
Hata nipigwe maweh
Moyoni ni salama na Niko na
Yesu ananipigania
Moyoni ni salama na Niko na
Yesu ananipigania aah
Kwa upando wake acha niseme
Oooh salama yeah
Oooh salama yeah
Instruments
Mr Lomasi
Eeh Yesu bwana mwokozi
Upando wangu mimi iih
Amenifungua kifungoni mwa shetani
Niko huru Leo
Ndo mana na ringa
Na cheza
Niko ndani ya Yesu
Amenifuta chozi chozi mimi
Amenitowa chini chini sana
Kaniketisha juu juu sana
Yeeeesu
Uliwapigania Pigania Hao oooh baba
Na mi wanipigania
Mikononi mwako na weka roho yangu
Nina imani nawe
Ndo mana sitoki kwako weeeh
Hata nipigwe mawe
Moyoni ni salama na Niko na
Yesu atanipigania
Moyoni ni salama na Niko na
Yesu atanipigania
Tena wanipa njia ya ukweli na uzima
Ndo mana Leo nasema ni salama
Oooooh salama yeah
Ni salama Moyoni mwangu
Ooh oooh salama yeah
Ooh salama yeah
Ooh salama yeah
Instrument
Lyrics by star hosma
Aaah