Bwana Radio (Lost Love) Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Kwa majina naitwa Isaya omwana wa Naliaka
Na nina ujumbe ningependa tuma
Kwa msichana ambaye ameninasa
Lakini ingawa sijamjua
Tulikutana pale dukani
Yeye maziwa mimi mkate
Nilifumba kufumbua hayuko
Nisaidie
Bwana Radio
Kwa majina naitwa Isaya baba mwenye boma
Na nina ujumbe ningependa tuma
Kwa msichana niliyemkosea
Anajuta sana kunijua
Tulikutana pale dukani
Tukapendana mieze ishirini
Nilifumba kufumbua hayuko
Nisaidie
Bwana Radio
Nilimuona pale dukani
Alikuwa na maziwa na mkate
Nilifumba kufumbua ndiye huyo
Aliyemumiliki
Oh
Bwana Radio
Bwana Radio
Bwana Radio
Bwana Radio