Stay Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2019
Lyrics
Stay - Godzilla (Tz)
...
Kingzilla Zizi (STAY)
You Gotta Love This
Yeah yeah (Stay)
Miaka kibao nawapa maarifa
Labda ubongo wangu unachelewa
Kupeleka taarifa
Labda maneno yangu wataelewa
Siku nikifa
Mi ni mfalme nahitaji strong queen
Ka- Ratifa
Mjinga hata ukimsaidia kwake sio ishu
Machozi mashavuni pass A Tissue
Muda mwingine nachoka natamani kula nawee
Nagundua wana mabawa wananihitaji
So you know I Gotta (Stay)
Mtaani kuna sister Du
Ana bwana anamapene pia Handsome tu
Kampa msingi wa elimu kafika chuo kikuu
Kampa Range Rover kampa Mak II
Anampa shopping za maana
Hotel ya bei ya juu ila kwenye
Sex game yake uwaga hafiki hata Round two
Demu analanda kwenye mitaa
Anamegwa na muuza mkaa
Kwasababu ya Hela kwa Jamaa
ndo ana-stay
Maisha yana pride action kuna vitu
Husijaribu sababu najua vina addiction
Mi ni mpango wa mungu kwahiyo nipo
Kwenye mission niko mtaani ukitaka
Ukweli kaa chin just come Listen
Watoto na mentality za kiGangster
Siwakemei sababu najua wana-show
Tempor
So mawakuza ile kishkaji hili wakue
Wananihitaji siwezi kuwakimbia
You know I gotta (Stay)
Maisha ni maamuzi Ex girlfriend
Anapenda mitoko daily twende movie
Wakat mother yupo is Cool alafu ajala
Toka juzi mi mwanaume nina msimamo
Sina maamuzi ya kipuuzi
2012 namaliza CBE kwasababu leo Alhmis
Mi naitaga TbT
Na wanangu tulikuwa Room sixthnine
Tuli-just fine wakati namaliza chuo
Wakasema ZILLA pls (STAY)
Yeah
You know I Gotta express myself
The Story of my Life
Ladies sing Along with me one moretime
Come Let me you Say (STAY)
I like the one So am david story of life
One moretime (STAY)
Miaka kibao nathamini washikaji
Labda kwenye maisha nahitaji watu
Wasionihitaji lakini mi nimezaliwa
Moyo safi sina uzugaji hili tabasam
La ukarimu aliwezi kufanya mauaji
Nikiwacheki kwenye macho
The don’t feel me
Ila mi mtoto wa mungu
The king kill me
Makosa nawasamehe siri me
Swala nipo kwenye zizi la simba
U know what ima (stay)
Yani kama tupo class na attention
Ya kila mwanafunzi uwaga ni
Niku-pass
Nakuna goodtimes though they never last
Flani ukipata mafanikio The turn bring up
the past
Mafaniko hayaekti kukutembelea
Maneno na scandal vinakunyemelea
Shetani yuko mbali na unamkemea
Aukimbii kivuli chako kwenye aukimbii
You gotta (stay)
Yeah yeah
You know what am say
This is our feeling I mean (yeah)
Only you voice ladies onetime
I love this one I mean
So am very sex and Dope
(Luffa) my Nigga Ahaahah (Stay)
Am Godzilla Let love it
Salasala WestSide Allday Nigga
You get love me onetime ahahaha
Stay home Boy (STAY)
Written by: Chris Mnyama
Lecagy of Kingzilla zizi
WESTSIDE