KIKI Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
KIKI - Wangechi
...
yeah
(wangechi)
kaa unangoja niwache rap brah zima ndom
mi ni kaa wewe naeza kosa msimamo
nime miss kuwapatia ma sing along
naku take pics with the girls kina Chimano
aah usi try kuni pima roho
preps tuli skip tukazimia dom
ukiwa na cash on your side
na starch ya mangwai
ningumu we ukae wamekunyima doh
ka ni ma beng unaeza kuni holla bro
saai mnampenda msisahau Kanambo
beat mlijengwa mkakam ku mumble
back to sender biz inakam na doh
ni must kuwa zima this year
waulize tuna rap nakuimba this year
no cap manze mi hujiskia
nimeshinda na ball nataka mimba this year
hii ni moja overload
inafanya wakristo waache kungoja God (ah)
na ukujuu niko all alone
mi hujipenda ni rahisi kunisoma joh (ah)
so if you see acting carelessly
sio mimi, it's the weed
and I LSD yah
if you see me acting carelessly
I took too much of Hennessy
si ngumu bradhe ku decide
fuck politician anatengeneza roadi saaii
Heart kwa band na sina Modecai
couple of fans wanna see all the time
girl friends si lazima kuji dai si tunaka tuna tuna kaa simple (yah)
intelligent I got hustle on my mind
oh yeah I'm a capigon
make your girl go down then she back it up
uptown downtown fina mash it up
nima yengs na ma drinks piga flash
and for the record, we don't fucking care what's in the party cup
mume kosa confidence
mbona mna focus na past events?
labda ata nime shika Mercedes
mki nicheki mnauliza juu ya accident (why)
manze mta ni koma nyinyi
mnadai kuona vile nilishonwa nini?
nisha ona horror nyingi
ni watu kiasi manze walikua na mimi
kidogo niache rap nikue shabiki
hapana!
the realest nigga na mi ni bado ni mama
hatuko bank pesa zetu ziko chama
mi na bro hatubongi ba ni sawa
peng ting naleta lawama
and I KNT upeleke drama
ama KOT upeleke umama
kama hawatii buda utahama
kaa anaidai mi ni must niiwai
nyi bado mnalipiwa keja it must be nice
bila dredi ama vile mi ni ras walai
huongo, mi ni babi ume naswa bye
I know you love it don't you
kaa rada album ina drop soon
wa nge chi