Sio Poa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Sio Poa - Nicoh
...
Artist:Nicoh
Song:Sio poa
Producer:Black culture
Verse1:
Naona nyota naona nyota japo muchana
Nahisi kuchanganyikiwa
Ulivyonichota umenichota unanidanganya
Sumu wamix maziwa
Au wataka moyo wangu nakupa chukua eeh
Manyanyaso moyo wangu haujazoea eeh
Kitu kidogo wasusa wajichetua eeh
Tena pasi makosa waninunia eeh
refrain:
We utaniua utaniua utaniua wewe
Haya mateso aah
Chorus:
Sio poa
Sio poa
Sio poa
Sio poa
Verse2:
Kama ni vita basi nasurrender
Tufanye umeshinda
Sipati picha wapi tunakwenda sioni
Kiza kimezinga
Na taraka sio jawabu
Mlango wake bawabu
Vijimaneno vya taarabu visifanye nkuchoke
Me alinifunza babu
Mke ni dhahabu
Nisijeikosa thawabu
Acha nikutunzee
Refrain:
We utaniua utaniua utaniua wewe
Haya mateso ah
Chorus:
Sio poa
(unavyofanya unanionea)
Sio poa
(we utaniua utaniua)
Sio poa
(ah basi me naomba pooh)
Sio poa
(usije ukanitoa roho)
Outro:
Aah we utaniua utaniua wewe
Usije ukanitoa roho aah