Nilaumu Macho Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2021
Lyrics
Nilaumu Macho - Tam Tam Band
...
Moyo umeeesalitika
Na sababu macho yaaangu
Moyo ume-salitikaaa
Na saababu macho yangu
Tena nna hadhirika, Kupenda kitu si changu
Mwisho ntahadhirika, nipoteze roho yangu X2
Nilaumu macho yaaangu, Au moyo niambieniii X2
Au moyo nambieeeni x4
Nilaumu macho yangu, Au moyo niambieni X2
Break
Na moyo hausikii umeshitadi wezaangu x2
Wala haujizuii ukaficha siri yangu
Bali wafanyaa bidii, upoteze pendo langu X2
Nilaumu macho yangu, Au moyo nambieni X2
Au moyo nambiiieni x4
Nilaumu macho yangu, Au moyo niambieni X2
Break
Macho yangu yamenena, Lawama hizo si zaangu X2
Mimi kweli nimeona, nazifumba mboni zangu
Moyo subira hauna, Niufanyeje wezangu X2
Aah Nilaumu macho yaaangu, Au moyo niambieniii X2
Au moyo nambieeeni x4
Nilaumu macho yangu, Au moyo niambieni X2
Break
Wakumshauri sina, nikampa siri yaangu X2
Yalaiti angeniona, Akajua hali yangu,
Nakufa huku naona, Na sababu macho yangu X2
Nilaumu macho yaaangu, Au moyo niambieniii X2
Au moyo nambieeeni x4
Nilaumu macho yangu, Au moyo niambieni X4