Peke Yangu Siwezi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Peke Yangu Siwezi - Kwaya Ya Mtakatifu Andrea Anglican Msalato
...
nko mbele zako ee mungu wangu, nisikilize , tusemezane leo, nimeambatanisha na hoja zangu pamoja na shida zangu
hv so wew uliyempa hana mtoto samwel ,hv so wew uliyegawa bahari ya kwa fimbo ya Musa,
hv so wew uliyemponya daniel kwenye tundu la simba.....
hv so wew ulitenda haya yoteeeee...
ikiwa umetenda haya iweje usitende kwangu hv hzi shida zangu n kitu gan kwako,×2
niambie umaskini wangu n kitu gan kwako , niambie magonjwa haya n kitu gan kwako
nami nimtumaini nan kama c we,je mi nimutegemee nan,×2 we yesu weeeee
kama n maovu yangu