Yatakuwa sawa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Yatakuwa sawa - Hope giver
...
Noize chuga
Hope giver
Meneja ngaa
Let’s do this. Bet
Weza pata pia
Weza kosa pia
Weza pata furaha
Unaweza kosa furaha
Ishi maisha yako
Kwafuraha
Naleo ukosapo
Kesho utapata
Ishi maisha yako
Kwafuraha
Naleo ukosapo kesho utapata
Matatizo shida
Kutokuwa nacho
Yote ni maisha
Cheza imba yote yatakuwa sawa
Ondoa shaka usikate tama
Amini utapata hakuna matata
Ishi maisha yako kwafuraha
Naleo ukosapo kesho utapata
Ishi maisha yako kwafuraha
Naleo ukosapo kesho utapata
Matatizo shida kutokuwa nacho yoteni maisha
Cheza imba yote yatakuwa sawa ………………………………………………………………