Siwezi (feat. Christina Shusho) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Siwezi (feat. Christina Shusho) - Ikupa Mwambenja
...
Siweezi, bila wewe mungu
Siweezi, bila wewe baba
Siweezi, bila wewe mungu
Siweezi, bila wewe baba
Uliniumba niwepo nashukuru nipo baba
Ila ombi langu ninaomba unilinde mungu eeh
Uliniumba niwepo nashukuru nipo baba
Ila ombi langu ninaomba nitetee mungu eeh
Matatizo ya dunia, shida za dunia, bila we (ntawezaje)
Dhiki za dunia, tabu za dunia, bila we (ntafanyaje)
Jua lile nilishindaa, hata hili nitavukaa ni lazima nishinde
Lazima nivuke katikati ya maadui zangu, tena kwa kelele kwakuwa vita si yangu ni ya kwako mungu wangu
Umewaruhusu wapigane na mimi maan umejua nitashinda,amewaruhusu wapigane na wewe maan amejua watashindwa
Ila bila wewe, siwezi (eeh)
bila wewe mungu,(mungu wangu) siwezi (medali wangu)
Bila wewe baba, siwezi (unanitetea) siweezi (siku zote) bila wewe mungu,siwezi(unifiche kwenye mikono yako)bila wewe baba
Na hofu sina maan nikilal ananilinda wewe(wewe)
Tenaa hofu Sina ata nikitembea ataniona (weee)
Nilikilala unanilinda, Mambo yangu wayajua wee
Mtetezi wangu ni wee-wee, kimbilio langu ni wewe
unaejua maisha yangu,kabla sijazaliwa, unaejua ndoto zangu kabla hazijatimia
Mwenyewe utanitetea baba, tena mwenyewe utanishindia baba
Matatizo ya dunia, shida za dunia bila we ntawezaje
Dhiki za dunia, tabu za dunia bila we ntafanyaje
Jua lile lilishinda hata hili nitavuka ni lazima nishinde lazima nivuke katikati ya maadui zangu tena kwa kelele maan Vita sio yangu ni ya kwako mungu wangu
Umewaruhusu wapigane na mimi maan umejua ntashinda, amewaruhusu wapigane na wewe maan amejua watashindwa
Bila wewe mungu, siwezi bila wewe bwana
Siweezi Bila wewe baba (nakuitaji wewe yesu-eeeh)siwezi Bila wewe baba(eeeeh) Bwana siwezi,siwezi Mimi siwezi (siwezi)
Na hofu Sina(aaah)
Siweezi Bila wewe baba
siwezi Bila wewe mungu
Siweezi Bila wewe baba
ananiilinda