Mwanamboka ft. Bytar Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Mwanamboka ft. Bytar - Magic TZ
...
iye iye iyeh,
ouh ouh ouh ooh
aah aah
aah aah
iyeh aah aah
Ilikua mwanamboka nilipokutana na wewe
Sikumbuki nilipotoka nilipanda gari za Mosewe
Macho yalinitoka moyo ukasema ni wewe, aah
Nikahisi siyo kupata kumbe jimbo halina mwenyewe
Kwa dirishani nilikutazama, yakagongana macho
Nilihisi unarudi kumbe tushapendana
Kwa dirishani nilikutazama, yakagongana macho
Nilihisi unarudi kumbe tushapendana
Baby I love you, aaah aaah
Baby I need you, aah aah
Can't live without you, aah aaah
Baby I love you, aah aah
(Sing, vile ulivyo mgumu kisiki umeking'oa, ng'oa)
(Lile jumba bovu nimelibomoa)
(Kisu kikali bado nmekinoa)
(Penzi lako white paper halina doa)
Ikawa kama bahati, ukaketi kando yangu
Safarini kati kati, (nikajiuliza) kukusemesha naanzaje, eeh
Acha kupanic, nafsi ndani ikasema nami niache kupanic
Magic, sema yaliyo moyoni, eeh eeh eeh eeehh
Kwa dirishani nilikutazama, yakagongana macho
Nilihisi unarudi kumbe tushapendana
Kwa dirishani nilikutazama, yakagongana macho
Nilihisi unarudi kumbe tushapendana
Baby I love you, aaah aaah
Baby I need you, aah aah
Can't live without you, aah aaah
Baby I love you, aah aah