Upendo wako Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Uh uh uh uh uuu ooh
Nasimama mbele zako niki tafakari ih
Ni upendo wa aina gani ulio nipenda mimi ih
Hata umutowe mwana wako ateseke kiasi hicho oh
Nitakupa nini ih ohh
Uwepo wako uwepo wako
Wani zunguka ah wani zunguka ah
Upendo wako upendo wako
Wanizunguka ah wani zunguka ah
Nimetoka mbali sana
Nina kwenda mbali sana Nawewe
Hapo zamani nilifungwa sana nakamba za shetani
Sikujuwa kuna upendo mkubwa kama huu
Nilipo kutana nawe uka nisafisha nilipokutana nawe
Uka niweka huru nikuinuwe je
Nita kupa nini ih oh
Uwepo wako uwepo wako
Wani zunguka ah wani zunguka ah
Upendo wako upendo wako
Wanizunguka ah wani zunguka ah
Nimetoka mbali sana
Nina kwenda mbali sana Nawewe
Oh when I look up and down I see your mercy
When I look into your kingdom I see my place
Your love never change your love never fail
You deserve to be praised
Uwepo wako uwepo wako
Wani zunguka ah wani zunguka ah
Upendo wako upendo wako
Wanizunguka ah wani zunguka ah
Uwepo wako uwepo wako
Wani zunguka ah wani zunguka ah
Upendo wako upendo wako
Wanizunguka ah wani zunguka ah
Nimetoka mbali sana
Nina kwenda mbali sana Nawewe