Mimi Ni Msabato Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2021
Lyrics
Mimi Ni Msabato - Humphrey Moses
...
Mimi ni
Mimi ni x3
Namwamini yesu mkombozi
Msingi ni neno lake mungu
Afya na chakula ninajali naitunza siku ya sabato
Naipenda imani hii inanisogeza karibu na wokovu
Mimi ni msabatox3
Nimefurahi umenitambua mimi ni msabato
Ubatizo ni wa maji mengi
Siku inaanzia jioni mimi situmii vileo
Mimi ni mwana matengenezo
Naipenda imanii hii inanisogeza karibu na wokove
Mimi ni msabatox5
Nimefurahi umenitambua
Nimefurahi umenitambua mimi ni msabatoo