WOMAN (PARODY) Lyrics
- Genre:Classical
- Year of Release:2022
Lyrics
WOMAN (PARODY) - Otile Brown Official
...
mutura ni nyama Fulani ambazo ukizikula
you like my o my
ladha yake ndio iliifanya
iwe my favorite
bei yake rahisi sana
na ukizitaka
hizo mutura
Moshi yake inakuitaita unapopita
hivi we unadhani
ni nyama gani zile
bei yake rahisi zaidi ya vile unavyodhania
Tena Kila jioni mi na mabeste tunazivamia
owowowo
ni nyama gani
walai
tunaipenda sana
tunaikula everyday
tumekuwa addicted
Na zinauzwa usiku
sitaki Tena Kila hizo nyama