Anaependa kikweli Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Anaependa kikweli - Zanzibar Taarab
...
Si kitu kunipuuza kwako tamaa hazikati x2
Mpira sitogeuza moyo wangu madhubuti x2
Nilaani utavyoweza mimi sikubanduki x2
Chorus
Anaependa kikweli, hachoki kuvumiliax2
Habadirishi kauli, japo ukimchukiax2
Wajua ninakupenda, ndo maana waniringia x2
Unanifanyia hila, mapenzi kunisusiax2
Baada ya hichi kidonda, kwa moyo unanitia x 2
Chorus
Anaependa kikweli, hachoki kuvumilia x2
Habadirishi kauli, Japo ukimchukia x2
ili fahamu mpenzi, sitoigeuza gia x2
niliadhiri mirathi, walasito ona haha x2
moyo wangu umeridhi, machungu kuvilia x2
Chorus
Anaependa kikweli, hachoki kuvumilia x2
Habadirishi kauli, japo ukimchukia x2
Itimie japo mwaka, mimi ninakungojea x2
Rudi hubi nakutakaa, wala sitokuchukia x2
Kukupenda sitochoka, japo ukinizomea x2
Chorus
Anaependa kikweli, hachoki kuvumilia x2
Habadirishi kauli, japo ukimchukia x2