Lazima Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Lazima - Kiboko
...
Switch ndio mjue wanyonge ni wanyoge, wazito ni wazito
Hatumix
Lazima 1? Niwateke
Lazima 2? Mniogope
Lazima 3? Nijibambe
Lazima 4? Niomoke
Lazima winning na swagger ni nature yangu
Lazima movie zitumie ngoma zangu
Lazima 1? Niwateke
Lazima 2? Mniogope
Lazima 3? Nijibambe
Lazima 4? Niomoke
Lazima luku ni moto volcano
Cheki watoto, manode na mavela
Hela
Kwa hii bed tuko wengi
Simu yangu iko wapi
Wapi screen ya hio lapi
Nililala saa ngapi
Ati mnaitwa nani na vile ubongo inaspin
Najua kumada hio hangi
S roll hio shada na iende chain ki dragon fire flame
Cloudy feeling phase
Kwanza hebu explain vile ulichukua chupa ukaweka mdomo kama drain
Huku unajifanya saint unatupoint unatublame
Puff puff
Welcome back
Siku tumeanza na 6-pack
Zetu zikishika make way fast
Pin kwa map tuione we’ll be there fast
Deejay cheza, spin it, rewind tena
Clubbin, beamin, jammin na ma-panthera
Hii drink, hii drip
Zote made in Kenya
Serikali weka Monday holiday tena
They call me kiongozi kuwaua na cologne
They try but the can’t cope
I’m talkin ma-millioni
They call me kiongozi kuwaua na cologne
They try but the can’t cope
So far ahead I’m swerving
Me ni Kiboko
Lazima 1? Niwateke
Lazima 2? Mniogope
Lazima 3? Nijibambe
Lazima 4? Niomoke
Lazima winning na swagger ni nature yangu
Lazima movie zitumie ngoma zangu
Lazima 1? Niwateke
Lazima 2? Mniogope
Lazima 3? Nijibambe
Lazima 4? Niomoke
Lazima luku ni moto volcano
Cheki watoto, manode na mavela
Hela
They call me kiongozi
Me ni Kiboko