Nikusudi Lake Mungu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nikusudi Lake Mungu - Miriam Thomas Chirwa
...
ni kusudi lako Mungu ili niishi hadi leo wengine wameshakufa ila mimi ni hai×2
nilizaliwa kwa makusudi yako ili wewe uinuliwe
na kwa moyo wangu wakuinamia nafsi yangu yakutukuza
Ee Bwana wangu umenivusha pale ambapo nilihisi kushindwa
ukaniinua nikasonga mbele ili mataifa yakuone wewe
wewe Bwana ni mkuu nakusifu Jemedari
wa majeshi ×2
ulikonitoa mbali nitakusifu Jemedari wa majeshi ×2