MALAVIDAVI Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Kwenye ndoto sura yako ninabaini,
Macho yako kwenye giza yana shini,
Penzi limekaba mpaka kwa maini,
Venye nakufeel
Meno yako kwenye fizi yako laini,
Jicho la kukonyeza liko tini,
Nataka nikujue kwa kizaidi,
Nilipe bills,
Kwako nimefally nimegandana,
No space tumebanana,
You are sweeter than a banana,
Ndio maana nakufeel,
Niite daddy nikuite mammy,
My love beibe,
Niite daddy nikuite mammy,
My love eiie,
Malavi love weeh,
Malavi love weeh,
Malavi lavi lavi beibi,
Rangi yako chuku,
Shapu la kizuchu,
Mbona nisikuite beibi,
Wengi mi nashuku,
Wanapenda kuku,
Wanajipendekeza daily,
Naroll na Benzo hiyo ass inafit hapa,
You are my prizim now I know your true colors,
My inspiration ,ndo maana mi ni rapper,
Nipige massage meditation bila jaba,
Katoto yellow, dawa ya yellow fever,
No need nikwambie si unajua umeiva,
Njoo nichangie diet nashikwa na dengue fever,
I think thats the cause every night me nashiver,
Wakibonga chafu niulizie,
Wakiwasha moto maah nizimie,
Ikitoka nje irudishie,
Feels so good irudishie,
Feels so good irudishie,
Feels so good.....