Loading...

Download
  • Genre:Afrobeat
  • Year of Release:2022

Lyrics

Moyo - planet tz

...

It’s PLANET

Mmmh

La la lalaaa

(Producer tyger on the track)

Au kisa shape na yako sura

Aah ah

Ungesema

Siyawezi matunzo ooh

Mmh

Hili penzi chafu zaidi ya cinema

Umenisema

Umenipa na funzo ooh

Heeeeh

Sasa ya nini kutwa kunitukana

Iyeee

Yani kwa watu ndo kunisema

Hee hee hee

Siwezi mie kubishanaa aah

Aa aa aaah

Sijazoea kushindana aah

Hili penzi chafu nishaziba pua

Aa aa aaah

Umecheza rafu pata butua

Mbioo

Za sakafuni zilipo ishiaa

Aa aa aaah

Moyo wa barafu sitaki jua

Ungesema mapema si ningeondoaa

Iyeeee yeeh

Umemwagia maji la udongo ooh

Penzi langu

Umeniacha kilema mie chongo ooh

Leeoo

Unawabeba wakali wa msondo ooh

MOYO

Kujibizana na weweee (hautaki)

MOYO

Kugombana na wewe eeh

MOYO WANGU

Kutukanana na wewee eeeh (hautaki)

MOYO

Kugombana na wewee eeeh

Mi mdhoofu wa haali

Walisemaga wahenga

Subira yavuta heerii

Mmh mh

Mbona kwangu mie sharii iih

(Ni maji kwenye tenga)

Mapenzi niyakalie mbali

He he heee

Maana mi yamenikaba koo

Mapeenzi

Yasije nitoa roho oh

Mama mamaa

Natoka naomba poo ooh

Nipumzike eeh

Sitaki kutoa droo

Ungesema mapema si ningeondoaa

Iyeeee yeeh

Umemwagia maji la udongo ooh

Penzi langu

Umeniacha kilema mie chongo ooh

Leeoo

Unawabeba wakali wa msondo ooh

MOYO

Kujibizana na weweee eeeh (hautaki)

MOYO

Kugombana na wewe eeh

MOYO WANGU

Kutukanana na wewee eeeh (hautaki)

MOYO

Kugombana na wewee eeeh

Kwa wangu MOOYOOOO

MOYO MOYO OOH

SIWEZI

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status