Ananiita ft. Kayumba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Ananiita ft. Kayumba - Addah
...
safari yako imekuwa ya ghafla iloacha majonzii
umeondoka mwanga wangu hata mbele sioni
mwiba ulonichoma unaniuma kuvumilia ndo siwezi
uliniaga ukirudi nitaitwa baba mzazi,
mfa maji bado natapa tapa uhakika kuupata,
kweli nmejupoteza ila moyoni nnamashaja,
mbona nilihakikisha eeh!! nimemzika kwa mikono yangu ila Sina uhakika nahisi ndoto zanguu.... (mpenzi eeh!!)
Ananitaa,
Ananitaa
Ananitaa akidai yeye hajafa bado (huku akivuta shuka)
ananitaa (na kuita jina)
ananitaa
ananiita akidai yeye hajafa bado
nafikiri upweke wangu
(nafikiri upweke wangu)
unanisumbuaa....
Au mapenzi yangu kwake yalopitiliza, aaah
Siamini ndoto zangu
(siamini ndoto zangu)
na kinachonitokea
kile kipenzi chanijia mola alichochukuaa,
At tena simuoni usoni amenipotea potea
mshumaa umezima na nuru imezima napapasa kutembea,,
nilie na Nani? nishakuwa yatima wa penziii
me Niko fumboni na wimbi la majonzii
Mbona nilihakikisha eeh!!
nmemzika kwa mikono yangu
Sina uhakika nahisi ndoto
(mpenzi eeh)
ananitaa
ananitaa
ananitaa akidai yeye hajafa bado
(huku akivuta shuka)
ananitaa (na kuita jina)
ananitaa
ananitaa akidai yeye hajafa bado
lo lo lo lo lo loooooh!
hajafa bado
ananiita itaaa
hajafa Badoo
ananitaaaaa
eeeeh!!!!
lololoooh!!
ananiitaaaa
ananiita akidai yeye hajafa bado
Typher's Creation