Mahorns ft. Wakadinali & Dyana Cods Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mahorns ft. Wakadinali & Dyana Cods - Iduzeer
...
Mahorns Lyrics
Ask your bro unabeef na nani
Holla mi ukifika olam ujaze Gede kama umesota
Tunamaintain Total na nko solo ukikuja na rende
Koro mbili kwa toja, left right wewe waist imenona
Nikiwaga nayo mi na wezangu tunajionanga immortal
Ushaitokewa na DCI maren kwa marima kama imezima
Yoh blunder mzinga though hawakunipata nilijump kwa dirisha
Inakuwanga mzito lakini hatuiachi tunaibeba mzima
Tunaishika juu ya ombitho 2022 tunai-
Ilibidi nimekukatia simu
Ju ningekukatia kwa sumu ningekaa ka wazimu
Still natapika mavitu ni dingi naspliff ni kiforeign
Niji utajiju
Boss it don't like melons mans am on Mars kama Elon
Me and my fellows felon, yellow boy Felo ahn hmm
Aliwabeat in short, alireach out ka melo
The sweeter the berry mi mchachu ka lemon
Sweet one anajiita mjuicylicious
Mi ni mtu emo, ata sina memo, ata sina meno
Msupa mzaituni unanianika kwa mbicha
Juu ganji ni sabuni
Pigwa block tukiwaka nare, maua taliban
Na -- tunafight ka Jackie chan
Don't be cool -- like Marjahan
Ask your bro unabeef na nani
Man tunamea mahorns
Pigwa block tukiwaka nare, maua taliban
Na -- tunafight ka Jackie chan
Don't be cool -- like Marjahan
Ask your bro unabeef na nani
Man tunamea mahorns
Alhamdullilahi