Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Yoh

Badwiz badwiz gaz gaz gaza boss man portmore inna mi name popo portmore inna mi Name

Badwiz badwiz gaz gaz gaza boss man portmore inna mi name

It's Rudra Kartel and me a real badman a gon kill everybody before

Eight o'clock mi na roam on my block kwa toja nmesunda kidungi na kiglock

Nikaspot the cops nkaskia stop ikabaki nmesundwa kwa shop

The story has never been told venye life ghetto inaweza unfold

Nika si tuna blind fold hakuna future for my hoes and my bros

Kubonga mbaya blanda scene zitafanywa which means itabaki unamadwa

Kwanza pigwa bare ya panga badwiz badwiz na hakuna chenye utafanya

Ukitry kusnitch unasakwa kwa hizi streets itabaki unahama

Migz alipatwa masokki ka saba na mwili ikafichwa Lakisama

Kubonga mbaya blanda scene zitafanywa which means itabaki unamadwa

Kwanza pigwa bare ya panga badwiz badwiz na hakuna chenye utafanya

Ukitry kusnitch unasakwa kwa hizi streets itabaki unahama

Migz alipatwa masokki ka saba na mwili ikafichwa lakisama

Blanda sana blanda huna muscle na umedunga vest

Design ni smooth kutake over drill utathani ni soda ya krest

Kila teo tumepita una ingine ngori set tu test east wamejipa sa tunakuja kurome huko pande za west

Ma line ni mob kwa Kebin utathani me hushindaga salon

Kama ni biz unadai tupige buda we holla my cellphone name a location tunawasili Manze ju si ni machampion

Kicks nganya kicks hatari hatujabonda na masalamon

Nonsense guy unabonga vishit utapigwa upoteze your teeth

Kajaba kaushika na njoti gomba ama pia big g

Unadai kuleta maringo tunakutoka ju si ni ma g mbleina unachachisha toka hizi pande Utapigwa kidii

Kubonga mbaya blanda scene zitafanywa which means itabaki unamadwa

Kwanza pigwa bare ya panga badwiz badwiz na hakuna chenye utafanya

Ukitry kusnitch unasakwa kwa hizi streets itabaki unahama

Migz alipatwa masokki ka saba na mwili ikafichwa lakisama

Kubonga mbaya blanda scene zitafanywa which means itabaki unamadwa

Kwanza pigwa bare ya panga badwiz badwiz na hakuna chenye utafanya

Ukitry kusnitch unasakwa kwa hizi streets itabaki unahama

Migz alipatwa masokki ka saba na mwili ikafichwa lakisama

Kubondea ma g kwa block niggah ni blanda

Ariff alikutwa na kisu glock adi na panga

Hizi sides play safe mmmhh ama utapangwa

Na manjege wako kila pahali bro chunga utabambwa

Trap trap me na trap na bado drill namaliza fala aliniita malaya akidhani sitampata

Ona sasa nilimkanga ako Kenyatta amelazwa

Water dripping kwa mishipa na hewa inaongezwa na pipes

Usipite chuom joh usiku ppprrr hio ni blanda

Utapatana na mbogi imejam mbaya niggah utamangwa

Watakutoka mkia mbota toja na ndula toja na ndula

Bila huruma makofimangumi teke utakula yoh

Kubonga mbaya blanda scene zitafanywa which means itabaki unamadwa

Kwanza pigwa bare ya panga badwiz badwiz na hakuna chenye utafanya

Ukitry kusnitch unasakwa kwa hizi streets itabaki unahama

Migz alipatwa masokki ka saba na mwili ikafichwa lakisama

Kubonga mbaya blanda scene zitafanywa which means itabaki unamadwa

Kwanza pigwa bare ya panga badwiz badwiz na hakuna chenye utafanya

Ukitry kusnitch unasakwa kwa hizi streets itabaki unahama

Migz alipatwa masokki ka saba na mwili ikafichwa lakisama

Cheki juu chini nadunga magoro niko matire malocal makoro

Portmore usithani mayolo seti kikoro kikule solo

Kikinishika enda kushoto kikiniruka baki ni zogo

Chekii staki upoko umenifika kwa kona kisogo

Unajua mi siwezi kufollow nina luivi na wewe kidi

Mi huchezanga tu nikiwa solo nina sokinda

Toka kigwangi na ukidinda hawanipati

Huwezi ni shinda utarusha ngapi ukijaribu utapata wapi

Bila kujua jooh pussy ni ngati chuna ka mboko si siwarazi

Ni chuma moto juu ya kigwangi

Cassette naniita suspect kila burni inadi casket

Bila sachet inami packet si five scales na ni asset

Cheki pum pum na ni puppet

Fock fock na boy di bumpa boy di Bompa mi nilimiss

Strike off baty mi nilidiss adi madoba nilirelease

Ni kama tom and jerry na courage

Pussy maburni nilidefeat moriio cheza hii cassette

Naniita suspect kila burni inadi casket

Nina sachet innami pocket

Kubonga mbaya blanda scene zitafanywa which means itabaki unamadwa

Kwanza pigwa bare ya panga badwiz badwiz na hakuna chenye utafanya

Ukitry kusnitch unasakwa kwa hizi streets itabaki unahama

Migz alipatwa masokki ka saba na mwili ikafichwa lakisama

Kubonga mbaya blanda scene zitafanywa which means itabaki unamadwa

Kwanza pigwa bare ya panga badwiz badwiz na hakuna chenye utafanya

Ukitry kusnitch unasakwa kwa hizi streets itabaki unahama

Migz alipatwa masokki ka saba na mwili ikafichwa lakisama

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status