Achimelemele Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Achimelemele - Ronei
...
Achimelemele
intro..
yelaluluwoooooh woohoo mmhuuhuu sheleli wilipoomanii ihiiii
Verse.1
Iyelewii aah,sherry nangai wa mii haujaambiwa, kama nateswa na nani narudiayaa,kwako nshafika jamani
nishajifiaa,heli ishasomwa sitaanii .
Bridge.
sio kwamba mi nang'ang'ania,
shamba nilopewa nalipalilia ( zao )
penzi nalipambania ,
karidhika na Mimi japo kibamia.
Sio kwamba mi nang'ang'ania,
shamba nilopewa nalipalilia (zao)
penzi nalipambania,
karidhika na mimi japo kibamia.
Achimelemele
Chorus..
Eti wanataka waroge, penzi letu haiwezekani
Achimelemele
kabisa lipotee, lifutike na kwenye ramani
Achimelemelee
eti wanataka warogee, haiwezekani
Achimelemelee
kabisa lipoteee eh.
Verse.2
Kaza roho beb ,usijali hao wanao piga ngenga.
hasara roho mamy, usijekinga maji kwenye tengaa.
kwangu wee wa halali,usijekosea hisia zangu
ukabadili ya awali,sega nikakosa asali yangu.
Aamini ntadata ,ukitaka unikimbiee eheh
Tunza siri kichaka, mwenzangu namiee eeh.
Bridge.
sio kwamba mi nang'ang'ania,
shamba nilopewa nalipalilia ( zao )
penzi nalipambania ,
karidhika na Mimi japo kibamia.
Sio kwamba mi nang'ang'ania,
shamba nilopewa nalipalilia (zao)
penzi nalipambania,
karidhika na mimi japo kibamia.
Achimelemele
Chorus..
Eti wanataka waroge, penzi letu haiwezekani
Achimelemele
kabisa lipotee, lifutike na kwenye ramani
Achimelemelee
eti wanataka warogee, haiwezekani
Achimelemelee
kabisa lipotee eh.
achimelemeleeh