Parapanda Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2022
Lyrics
Parapanda - Mambalion
...
PARAPANDA Lyrics
Mambalion
Mara sauti kwa spika ikisikika ni kama malaika
Wanavyonivuta nyuma,ndivyo mi ninasonga mbele
Niliacha mi kulia ,sasa mi natunga nyimbo Na walonipuuza sasa wananing'ang'ania...
Anajifanya kuwa mweza,tajiri tajika na Pesa anazo jina almaarufu kama,kamaah Anajifanya kuwa mweza,pesa samaki pweza ah
Kazi anazo,jina hadiriki tamu,tamu uh
Mara mara huyu mara yule ,jani halishiki tawi Na,
Akibonyeza,wote wanabaki kuduwaa ah Alivyoketi ye kisiri,shabiki wengi malimwenguni
Akizionyesha,wote wanabaki kupagawa ah
Parapanda inalia Parapanda inalia
Parapanda inalia Parapanda inalia
Parapanda inalia Parapanda inalia
Heri niwe na shilingi
Mwenye imani hibadiliki
Ama kama Daudi Alivyomsifu Mungu
Ama niwe na kipindi
Cha kumsifu Mungu Baaba
Kama vile Suleiman
Alivyoijenga hekalu
Heri niwe na shilingi
Mwenye imani hibadiliki
Ama kama Daudi Alivyomsifu Mungu
Ama niwe na kipindi
Cha kumsifu Mungu Baaba
Kama vile Suleiman
Alivyoijenga hekalu
Parapanda inalia Parapanda inalia
Parapanda inalia Parapanda inalia
Hizi nyakati tulizo ni nyakati za mwisho
Kwa hivyo mpendwa achana kabisa na mambo ya dunia
Hizi nyakati tulizo ni nyakati za mwisho Kwa hivyo achana kabisa na mambo ya dunia
Parapanda inalia,parapanda inalia
Na inalia kwa kishindo,parapanda inalia Parapanda inalia
Parapanda inalia Parapanda inalia
Parapanda inalia Parapanda inalia
Parapanda inalia Parapanda inalia
Mara sauti kwa spika ikisikika ni kama malaika
Wanavyonirusha nyuma,ndivyo mi ninasonga mbele high aiyaiya!