Wenye Wivu ft. Pryshon Lyrics
- Genre:R&B
- Year of Release:2022
Lyrics
Wenye Wivu ft. Pryshon - Lyanga Lisa
...
Nimeacha kumpenda
mapenzi hakuna
tulifika hapa aje?
Najaribu kujitoa
na nguvu hakuna...
Tulifika hapa aje?
Najaribu kujitenga
Sitaki kumcheza
Nikiwaza na remember ..Our love
Najaribu kujitenga
Sitaki kumcheza
Nikiwaza na remember ..Our love
Ninatakaaa... kumweleza
Na majibu ..Mimi sina
Penzi letu..limekwisha
Wenye Wivu ..wameshinda
Tulifika hapa aje?
Nashangaa
nashangaa!
Tulifika hapa aje?
Nashangaa nashangaa!
Nitaanza wapi Mimi si hisika
nili..nishamzoea ananipenda!
Nitajaribu kusitiri mapenzi yaki thiri
Nijifunze tena kumpenda!
Mambo yetu yawesiri
zetu si wawili
hadi tuipate msingi..
Tujitenge na stori nyingi
Hadithi tuibadili
Tujiweke na maadili ...
Natamani kuongea na yeye leo
(kama siku zile za kwanza)
Burudani..nicheze na yeye leo
(wimbo wetu ule wa kwanza)
Najaribu kujitenga
Sitaki kumcheza
Nikiwaza na remember ..Our love!
Najaribu kujitenga
Sitaki kumcheza
Nikiwaza na remember ..Our love!
Ninatakaaa... kumweleza
Na majibu ..Mimi sina
Penzi letu..limekwisha
Wenye Wivu ..wameshinda
Tulifika hapa aje?
Nashangaa
nashangaa!
Tulifika hapa aje?
Nashangaa nashangaa!