Asante (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
ASANTE - BELLA KOMBO
...
Kwa Yale umeteenda
na Yale umeeeefanya tumekuja na
Asante×3 Bwana
kwa Yale umeteenda na yale umefanya tuko hapa na
Asante×3 Bwana
Si lugha za malaika ni lugha za watoto wako tuko hapa na
Asante×3 Bwana
Kama ni maandiko na wino nimemaliza nimekuja na
Asante×3
kulia nimelia machozi yamekauka nimekuja na
Asante×3 Bwana
Amen halëëë amen(Amen haleluyah×2) Asante×3 Bwana
Amen halëëë amen (amen haleluyah×2)
Asante×3 Bwana