Nuru iangaze Lyrics
- Genre:Reggae
- Year of Release:2022
Lyrics
Nuru iangaze - Gospel Light Tanzania
...
tupelekenj ujumbe
kwa mataifa yote
kwa matedo na Tania zetu
tumwinue mwokozi
alisema nikiinuliwa
nitatafuta kwangu
tupelekenj injili watu waokolewe
tumwinue mwokozi
watu wote wamwone
sisi ni nuru ya dunia
nuru yetu na iangaze
tumwinue mwokozi
watu wote wamwone
sisi ni nuru ya dunia
nuru yetu na iangaze
kwako kazini kwako
au nyumbani mwako
mara ngapi umehubiri
habari njema ya wokovu
ondoka na uangaze
nuru imekujia
katangaze neno la Mungu
dunia imekwisha
tumwinue mwokozi
watu wote wamwone
sisi ni nuru ya dunia
nuru yetu na iangaze
tumwinue mwokozi
watu wote wamwone
sisi ni nuru ya dunia
nuru yetu na iangaze
tumwinue mwokozi
watu wote wamwone
sisi ni nuru ya dunia
nuru yetu na iangaze