Cheza Tu Na Dudu 46131 Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2020
Lyrics
Cheza Tu Na Dudu 46131 - Wutang Gang 254
...
yo yo mfisa
aha
cheza tu na dudu ni kama uko grao
cheza tu na dudu ndani tu ya trao
cheza tu na dudu ni kama uko grao
cheza tu na rungu cheza tu na dudu
mfisa me si fisi lakini ntakudishi
stingo ni za ngwati na favourite dish napenda Kula paka nataka tu kadem,kadem kana haga Kwa kitanda yeye ndio mode kanapenda tu magode kauseti tu mambichwa madredi tu Kwa kichwa sura imeweza hips ziko fine lips ziko sete nataka uwe mine,yo
cheza tu na dudu ni kama uko grao
cheza tu na dudu ndani tu ya trao
cheza tu na dudu ni kama uko grao
cheza tu na rungu cheza tu na dudu