Ngwai ft. Lilmaina Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Ngwai ft. Lilmaina - danski
...
maboys wanataka twende tuive shada
round mbili tatu sasa sisi tuko rada
masanse waki kam tumesha jikata
Mali zangu(thai×5 )safi ady hauwezi kazi pata
masoja....
wakani pata
kijana ebu sema Kila kitu ulikuwa unafanya
afisa mi najua unataka tu kukanjwa
nilikulwa ,maviboko zote Kwa mapaja
ngwai ngwai mangwaingwai×3
oooh ata mimi imeni boooo
na maboys wamekuja jooo
ngwai ngwai mangwaingwai(uuui... switch position)
nilichocha masa niko church(masa niko church)
kumbe niko baze jaba na kishash
akipiga tunaenda mtaani very fast
try to do ur thing i'll also do my part(ngwai ngwai mangwaingwai)
alijichocha sai miguu ziko apart(ziko aa..)
never a thing aii mbona unacatch