Genje Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Genje - Yo Mondi
...
Genje genje genje ah
Deal zile genje genje nimemea pembe, zao mi sidai na misili
Stingo zangu za kitambo skuizi mi sipigi manze na ilibidi nimedu this
Daily niko double grind, mi nashine, na huu gala ni mine
Corner zote ninagonga, mi natema bado wanasema genje
Walikuja wanipati goshodo ni mnasty that night alisema twende
Huku kwetu ni vipaji na hii sensi mi nimeivisha taji
Na za kwetu ni majani Arif sikupimi manze I swear hizi ni Genje
Huku kwetu ni majani Arif sikupimi, I swear hizi ni genje
Huku tunakuja na pressure narcotics ni nyingi zikosi Kwa mwili
Hasira ni ya dogy imezaa na hapa zaza tunapiga wengine wakizoza
Huu diva namsuka na Leo Niko Choosey na Kama mizoga sikuli sibonyi
Alafu anapinda Stingo ni mbichi namlisha nikama ni kinda
Alisema anapenda mafreestyle apo nkamteka nkamfanya mateka
Za macho anataka matenga na pale nkifika anajua ni kumtepa
Sku hizi nabeba mashore na kichwa Iko fly imebeba nyasore
Hii yard ni genje, madiva ni crazy wanapenda mapenes
Napenda wanene manze nko dirty we kuja tu ubend down
Deal zile genje genje nimemea pembe, zao mi sidai na misili
Stingo zangu za kitambo skuizi mi sipigi manze na ilibidi nimedu this
Daily niko double grind, mi nashine, na huu gala ni mine
Corner zote ninagonga, mi natema bado wanasema genje
Walikuja wanipati gushodo ni mnasty that night alisema twende
Huku kwetu ni vipaji na hii sensi mi nimeivisha taji
Na za kwetu ni majani Arif sikupimi manze I swear hizi ni Genje
Huku kwetu ni majani Arif sikupimi, I swear hizi ni Genje
Survival ni bahati na life nalive hata kesho walai sijali
Niko Kwa bukla kesho nusura lakini nasonga na Mali
Huu bitch akigawa mi sina rush, si lazima kush bado ntapass
Vibe ni mad tupate na can ama majug,
Majegy napenda na kama ni missing manze napita nakwenda
These days na-rise naipiga ka mboka kuwake kunyeshe na mbunya
Tamasha ikikam tunapiga na weather chafu hata ngasha siwahi
Na deal ni safi si payday lakini tupate tuna order mafry
Kienyeji na sima tunabonya my nigga yoh never usilete hapa wali
Kukula Kwa jasho ni lazima zangu ni mingi na wale Hawali
Umesema hiyo chuki ndo dawa, jikaze manze umalize kadose
Deal zile genje genje nimemea pembe, zao mi sidai na misili
Stingo zangu za kitambo skuizi mi sipigi manze na ilibidi nimedu this
Daily niko double grind, mi nashine, na huu gala ni mine
Corner zote ninagonga, mi natema bado wanasema genje
Walikuja wanipati gushodo ni mnasty that night alisema twende
Huku kwetu ni vipaji na hii sensi mi nimeivisha taji
Na za kwetu ni majani Arif sikupimi manze I swear hizi ni Genje
Huku kwetu ni majani Arif sikupimi, I swear hizi ni Genje
Bado nagrind na huu ngoko amekwama hanitoki Kwa mind
Namshika hamind sijui ni why anasema ni fine
Alafu nafika na mwaki Giza ikifika napita na peng ting
Foreplay kwa ufupi alafu tusonge na pumping
Kejani tupate na fagi Kama ni cookies tupia mamanzi
Kwa mbosho sikosi marizler Leo kumedy ni mpaka kwa pipa
Addiction ya vela bado pale juu, juu mwanzo hata sidai tiba
Msako ikipigwa nilipatwa kwa corner na kichwa nimeficha kwa Bomba
Kichakani nipate na niko vijiti lakini blanda sina Gomba
Napenda kuslide kwa-diva na Kama ni msturbon cheza na kichwa