Yes Bana Beat Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Yes Bana Beat - DJ INFRAH 254
...
wanangu wa cdti, niaje naawapa hai,
niko pw sjaapig dry, majungu nashushia na chai
kwenye froo mm hatari sifai, mkibisha muulzen dady, uhakika ka mwanang kosmas, sio boby na napigo za kirasi,
sio siri mambo yapo waziwzai,
mkidis mm napiga kazkazi,
kama fisi na mifupa ndo siachi,
hey hey wanangu amken, ili goma leo lipo top10,
miaka ming
i ila bado lina trend,
tikisa kichwa ata kama ina pain
ukiweza una dance kama kenny,
natema puch utasema jakcheni.
ukiweka silembi nagusa, ukinidis umefeli unakufa,
joeboy nae pia ni mussa, ukibisha unakatwa unakufa,
umoja kwetu c ni ruksa,utengano unavunjw unakufa
serious staki masihar, makin ka navuka barabara, mapenz ka harmonize na kajala,
chaz juma nae pia ndo CR.
akirud amechoka analala, sio bure ametoka kuwalala.
nachana staki izo gere, ka mchuga akuna makwele
godfrey kibonge mayele, keti chini usingiz ni tere
na frooow utazan wa mambele
hey whatsap ma boy, aikatai maskan awapoi,
unyama ka mchizi wangu loy, swag nyingi madem awapoi,
nikuonge alaf useme autoi, ka makabila utatoa autoi.
sio wa kishua mm natoka uswazi,
sio kitumbua izi froo maandazi
niko tungi mkononi kuna ganji
na dance dance kama amapiano na donati
nememalza mjadala ndo staki,
tukutane kweny chai na chapati.