Bwana Yesu Live (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Bwana Yesu Live (Live) - Eunice Njeri
...
Bwana yesu Bwana yesu kimbilio langu ni wewe baba,tumaini langu liko kwako yawe mimi sina uwezo ooh sina bwana mwingine ila wewe eeeh , mimi sina uwezo ooh sina Bwana mwingine ila wewe eeeh yesu weeeh
wewe ndiwe eeh baba yangu msaada wangu*msaada wangu wa karibu .sema wewe ndiwe erh baba yangu, msaada wangu ..msaada wangu wa karibu ..
Halleluyaaah, halleluyaaah baba ulinifia mwokozi wangu,dhambi zangu zote ukaziosha sijapata mwingine eee..dunia yote kama wewe yahwe sijapata mwingine eee halleluhya, sijapata mwingine kama wewe yahwe..mwambie
leo.....
Nakuinua aaaa..nakuinua aaaa baba milele na milele nitakuimbia kwa yale umenitendea baba nakusifu.. milele na milele milele daima ooh bwana wangu erh, milele na milele milele daima...mwambie yesu ...
makofi na shangwe kwa yesu...
hakuna hakuna nasema hakuna kama
wewe,wewe unatosha milele,,hakuna kama wewe ,,hakuna hakuna milele,,, unatosha unatosha,,hakuna kama wewe
hakuna na hakuna imba hakuna kama wewe eeeh,hakuna hakuna tuimbe,,hakuna kama wewe ,wewe unatosha milele,, hakuna kama wewe,,hakuna, hakuna kama wewe,,unatosha unatosha hakuna kama wewe eeeh kama wewe ,,,hakuna na hakuna imba hakuna kama wewe ................