ZUSHA Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Yoh chupee hapa mi ni yule wa kuzusha mi huzusha mi nazusha
Mi nazusha toka mwiki dandora to kibera mi nazusha
I be bad whole day everyday mi nazusha
Napotea, natokea i dont care mi nazusha
Ma njege ma sanse wakwende mi nazusha
Bila breaki mi nazusha nikiwa klabu mi siketi mi na zungusha
Chali yako akinicheki ana zoom sana anataka hii keki na haezi gusa
Mi naeza mpona mi sicheki bumburusha
Ati nichukue leave ka si bizz imenileta kenya labda ikue beef
Nitoe hills nivue wig nikupige kibare kwa face ugeuzwe bitch
Hatukuamini wee kigeugeu snitch nikupe cladi zangu ndio ukae fit
Nilikusho hautawezana na uka insist
So before ugonge punana lick lick clit alafu splashh
Ndenga imefichwa ndani ya skirt mrenga imewapita ni ma scrrr scrrr
Madhako ameudhika na ma tat budako amezicheki na ana flirt
Hii ni ya ma bad bitch wa kenya na machali ma bandit wa jela
Fanya chini ju ya ganji na dema on everyday niko radhi ku genya
Tafuta riz mi sanif na bado nawauliza maswali
Serikali inaumiza wasanii vitu zingine miujiza walai
Afande usini shike kumamakomi si msichana mdogo naeza kua mamako
Alini jaribu nika kula vako siezi bishana manze na sikuli kwako
Ma panganga ndio zake tunajua amekosa kazi ashakua ezekiel mutua
Pu pu pull up na ki senke kwa tour mi nazusha washa jua ni nani anazua