Na wewe Lyrics
- Genre:Light
- Year of Release:2021
Lyrics
Na wewe - Lony Bway
...
instruments !!!!
oooooh !
it's lony bway ,loniee!
oooh nononononoo,eeeeeh olololololoooo!!
why are looking down baby kila unapo niona, hata me sitamani siku itokee nikakuchoma (aah) nakumbuka zamaniii mateso ya moyo, utumwani nalishwa viporo ningekua kundi gani kama na wewe usingeniona miii
naiimani,
PRE CHORUS
unaweza kunipenda mi ukiamini labda ndo sitakudanganya ila ukweli hua haupingiki woote tunafananaa! na upendo wa kweli unatoka moyoni so usiruhusu kujidanganya ukifeli felii baby (ooh)
CHORUS
me na wewe oh me na we!(ooh mama)
me na wewe oh me na we!( ntakupigania mama)
me na wewe oh me na we!(mi na wewee)
me na wewe oh me na we!( hatuachanii, hatuachani me na wewe)
INSTRUMENTS ‽‽
toa nyekundu weka kijanii, me na wewe kama paula na vanny
tutaivuka mitihani, kama sio me ungechagua nanii (baby)
yaani raha tungejuana mapemaa,ila tu nilikosa muda wa kusema, (eeh) af siwafichi maana mwenzenu napendwaa
ama nichore bango ndo mjue napendwaaa (aah)
BACK TO PRE CHORUS 》》
BACK TO CHORUS <<
ooh mama, basi ulivyokama mdori ukinitazama tu namwaga mtori,na ukinikosea utasema am sorry me na we mapacha mama (mapacha mama) ??? angelina jori,kiuno cha mobeto na jicho goroli ( ooh nana!! , ooh nana!! niseme nini)
naishiwa maneno
???