Mama (Happy Birthday to me) Lyrics
- Genre:New Age
- Year of Release:2020
Lyrics
Mama (Happy Birthday to me) - Lony Bway
...
mama,
mama yangu mimi nakuombea dua sana
napokosa mimi kwako upo wazi msamaha
ooh
uliponizaa mimi ulitegemea tu furaha
asa niwe makini Dunia imejaa mabalaa
nitakupa nini mama kifanane na upendo wako
busara zako
mama malezi yako
haina thamani dunia hii bila uwepo wako
maneno yako
mama mapenzi yako
natamani nirudi utotoni nideke deke
nikilia unichekeshe
nikilala mama ukeshe
ooh huu
zile kunitafuta mtaani unikogeshe
madikodiko unionjeshe
kabla sijalala uninyonyeshe
Happy happy
happy birthday to me x4
ooh