Ndoto za ujana Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Ndoto za ujana - Muema Blessed
...
Kila kukikucha,jua likitua
ombi ni kwake juu,nizidi pepea
nipe uwezo wa kijana,alivoimba Nyashinski,
huyu Devo nimpige mateke,akaimba namba nane,
nikitembea popote pale,ndoto za wale,
kwanza zile za UJana,kwenye media nivume,
kinisifu kwenye shows ka Jalango,Betty kyalo
si scandals ka wale,wasio na uhondo
ama niwe rubani,anga nifanye Zara
taarifa niseme,kama Rashid Abdalla,
nyimbo nzuri nitunge,kama Nadia mukami
ndoto za UJana,niwe kama Tokodi
Kuna wale wenye bahati,wengine ni bidii,
ili uvume wakasema hivi ni viti ni vikali,
nikitembea popote pale,ndoto za wale,
kwanza zile za UJana,kwenye media nivume,
kinisifu kwenye shows ka Jalango,Betty kyalo
si scandals ka wale,wasio na uhondo
ama nijaribu one more time,
keep asking for more,
huko industry,isiwe kama ni fantasy,
ndoto za Ujana,niwe kama J.kenyatta...
bingwa wa taifaaaa,...
nikitembea popote pale,ndoto za wale,
kwanza zile za UJana,kwenye media nivume,
kinisifu kwenye shows ka Jalango,Betty kyalo
si scandals ka wale,wasio na uhondo.....
.....................................
(beatkiller)