Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2021

Lyrics

Sifa za moyo wangu (feat. Patience Indosio) - Fayie Blessings

...

wacha nisimuliie ,habari zake

,alivyotenda ,maishani mwangu.

Wacha niwaeleze,alivyonitendea maana ninaamini,atakutendea.

Nilikua nimeshushika sana,wanadamu ,wakasema,siwezi kitu.

Hata marafiki wangu wote,walijitenga,

sababu mimi,ni mzigo kwao.

Wote nilowaamini mimi,walinikana,

nikabaki,sina tumaini.

Nilipoita jina lake Bwana,

alisikia,na kunijibu,kwa wakati wake.

Leo nina furaha mimi,nitaimba(sifa)sifa

zako,ulimwengu kwote.Sifa za moyo wangu weehe,,(moyo wangu,sifa za moyo wangu,,ni zako Bwana.)sifa za moyo wangu zote,(moyo wangu,,sifa za moyo wangu,ni zako Bwana.)


Kumbuka mama yule Hanna,kwa muda mwingi,,aliteseeka,,akiwa tasa.

Hata yule mke mwenza wake,,alimcheka,na kumuita,,kwa majina duni.Lakini kwa a wakati wake Mungu,,mama Hanna,alibarikiwa,na kupata mtoto.Hii yawezakuwa ndiyo hali,yako leo,umajaribu,imeshindikana.

Hata hali yako ya afya,madaktari,wametangaza,haiwezekani.Ninayo habari njema kwako,kunaye Mungu,afunguaye,tumbo za tasa.

Tena kunaye daktari,ambaye yupo,zaidi ya hao,madaktari.Wewe mtumaini Mungu,kwa wakati wake,atakutendea,utabarikiwa.

Na sifa za moyo wako weehe,,moyo wako,(sifa za moyo wako,)ukabidhi Bwana.Sifa za moyo wangu weehe,(moyo wangu,sifa za moyo wangu,ni zako Bwana.)sifa za moyo wangu zote,(moyo wangu,sifa za moyo wangu ni zako Bwana)


Naimba sifa Yawhe,hee...

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status