Shida ft. Minortone Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2021
Lyrics
Shida ft. Minortone - Young Ferooz
...
Ayayayayaya aaaah
Dangboy
Mwenzangu mbona beki hazikabi
Ukifungua mlango anakuja
Heshima yako nimeitunza baby yoo
Umeshindwa kutunza Love
Yote mazaifu yangu nimeyachunga mimi yoo
Pendo lisije kuvunda
Nilipambana usiku kucha
Nikitafuta chapaa
Nikiamini kuwa wewe ndoo utakuwa mrithi wa mama
Kwa nini mama unanifanyia vibaya
Napo kosa pesa unaendekeza umaraya
Oooooh Ayaya aah
Oooh Shida
Kitanda hakizai haramu Shida wewe
Oooh Shida
Ulinipenda uliniongopea mama wewe
Oooh Shida
Tapeli wa mapenzi mama wewe
Oooh Shida
Nitakusamehe mama ila kusahau sitoweza
Oooh Shida
Yoyoyo yoyoyo .
Yoyoyo yoyoyo
End I fill na vibrate
Naogopa kukumisi
Japo umenchiti
Mi na crazy eeh
Uvumilivu donda si utani
Kumbukumbu nyingi kitandani
Umepepea wangu butterfly, butterfly, butterfly
O nafsi inakonda sana bado nakudai
Si ndo maana kuwa mpweke ugaigai
Ila sasa waweza kwenda
Nimechoka kuwa defender
Ooh my love
Kwa nini mama unanifanyia vibaya
Napo kosa pesa unaendekeza umaraya
Oooooh Ayaya aah
Oooh Shida
Kitanda hakizai haramu Shida wewe
Oooh Shida
Ulinipenda uliniongopea mama wewe
Oooh Shida
Tapeli wa mapenzi mama wewe
Oooh Shida
Nitakusamehe mama ila kusahau sitoweza
Oooh Shida
Oooh Shida , Oooh Shida
Oooh Shida , Oooh Shida
Oooh Shida , Oh Shida