Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Mama alisema maisha bado mwanangu kazana

Sio kupiga kazi tu ila sali sana

Pia waheshimu waungwana pamoja na wana

Na kwenye mishe zako usijikute mjuaji sana

Hustle more, and keep it low

Ukifika on top watakupa shikamoo

Baada ya Mohamed wataanza kukuita Mo

Yeah

Nimekuzaa man pekee wa kwenye familia

Na dada zako nyuma wote wanakuangalia

Usiwe ndezi we ni first born pia

Kwa hio hakikisha akili pia unaitumia

Ma girls ogopa, bitches ogopa

Watakuacha kapa kisha watakuchoropoka

Na kabla ujaondoka niahidi utaokoka


Sitochoka kupambana we mama

Usiku mchana kutwa napalangana

Aniepushe mabayaa Heee

Chuki na mikosi vipite kule

Ila mungu ani bless yoh we mama aniondolee na dhiki yoh hee

IMungu ani bless yoh we mama

Aniondolee na dhiki yoh heee


Kabla sijajibu mama anaingia ndan

Anaporud ananikuta mi mezan

Nampa maneno yanayotoka ndani

Kama ifatavo yananitoka kinywani

Nami nampromise mama mi nta fight sana

Najua succes haijagi simply bwana

Fo sure ntapambana yan ntapigana

Na ntakikisha nakua mfano adi kwa wana

Ntatafuta mmoja tu wangu m anaenifaaa

Ambae atanikubali mi hadi kwa njaa

Co yule wa kuinjoi tu kwnye miraha

Kwenye minjaa akaja kuniacha mataa

I pray more more to God

Niwe more than strong

Zile zangu goalz

Zisitake much time

I pray more more to God

Niwe more than strong

Zile zangu goalz

Zisitake much time


Sito choka kupambana we mama usiku mchana kutwa na palangana

Aniepushe mabayaa Heee

Chuki na mikosi vipite kule

Ila mungu ani bless yoh we mama aniondolee na dhiki yoh hee

IMungu ani bless yoh we mama

Aniondolee na dhiki yoh heee

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status