My Valentine Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2018
Lyrics
My Valentine - Mzee Yusuph
...
wakushukuriwa ni Mungu aaaaah ni munguuu
kwa utofanikiwa na usilo fanikiwaaa
alhamdulilah ndy neno lng Mungu amuweke zaidi mpenz wnguuu
kwa matunzo Kama hayaaa ya moto yaniunguzaa ,
aaah Raha najilia tuuu(Raha najilia tuuuuu)
ninajinenepea tuu(najinenepea tuuu)
..........................
she's my valentine alonigusa mtima
anaenitoa mawazo moyoooon kinagaubaga nasemaaaaaa*2
ananiliwaza ananiliwaza mawazo
mawazo mawazo ya kutwa nzmaa
nanikiwa nanikiwa na tatzo hunionea hunionea huruma *2
ananipumbaza napumbazika,ananibembeza nabembezekaaa,ananichekesha nachekeshekaaaa,nakunituliza natulizkaaaa,*2
kazi kwenu nawaambia nyie wasabasii,shauri zenu mnaotaka yetu ss, hamna kaz kazi ya kutuharibiaaaa,Mungu mwenyezi ndy aloturidhiaaa.
aaah Raha najilia (Raha najilia too)
ninajinenepea tuu (najinenepea tuuu)
.............................
she's cute for me kila idara ananivutiaa
laini laini nyama ya ulimii, mpole yke tabiaa*2
kwa utulivu kwa utulivu sisemi,hatoki hatoki bila kuniambia,haali hali bila kula na me,hakimshuki hakimshuki hunambia*2
ananisugua nasugulikaaaa, ananiliwaza naliwazkaaa,ananitomasa natomasikaa,na ananishika nashikikaaa,*2
kaz kwenu nawaambia nyie wasabasii, shauri zenu mnaotaka yetu ss,hamna kaz kazi ya kutuharibiaaaa Mungu mwenyezi ndy aloturidhiaaa
aaah Raha najilia tuuu (raha najilia tuuu)
najinenepea tuuu (najinenepea tuuu)
................................