Nisamehe ft. Dayoo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nisamehe ft. Dayoo - Mr LG
...
Nisamehe
Mr LG ft Dayoo
Yo
Ah!
Naitwa Mangi
Yani chagga tena ,nah
Iyeeh!!
Ohhh ooh!
Mr LG
Kutenda kosa sio kosa
Nimekosa kurudia kosa
Lakini nimekosa bebe
Ahh!
Imani yako kwangu nimekosa
Nilichofata nimekosa
Nitajuta kukukosa bebe
Ah mmmmhhh!
Tena chini ya ulimi umekaa
Jina lako halinikauki kinywani
Oooh! Unanifaa
Fanya hima basi urudi nyumbani
Oohhh! Baby
Nisamehe
Baby
Nisamehe
Oohh baby
Nisamehe
Oohh baby
Nisamehe
Ohh! Baby
Nisamehe (nisamehe, nisamehe )
Nisamehe
Mmmmmh
Kabla jua halijazama
Uje hata kunitazama
Nikizidisha kulalama
Itakuwa laana
Oooohh
Kimetanda kiza , wingu
Chembechembe zenye wivu
Amani sina hata utulivu
Tena chini ya ulimi umekaa
Jina lako halinikauki kinywani
Oooh! Unanifaa
Fanya hima basi urudi nyumbani
Oohhh! Baby
Nisamehe
Baby
Nisamehe
Oohh baby
Nisamehe
Oohh baby
Nisamehe
Ohh! Baby
Nisamehe (nisamehe, nisamehe )
Nisamehe
The mix killer
Lyrics by boeq
Follow me please!!