Mahabuba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mahabuba - Beka Ibrozama
...
Baby nataka nikung'ate sikioo
Nikuelezee nilonayo ndani
Baby nishalipata chungioo
Tuchengeze pumba za pwani
Mvuvi haogopi shombo nipe nivue
Kagere achezeswi ndondo husijisumbuee
Miuno ya paka chongo nisasambue
Penzi lizidi uhondo uhondoo
Mahaba
Zidisha mahaba nidate
Mahaba
Kwa joto baridi nkumbatee
Mahaba
Uwe ulimi niwe matee
Mahaba
Mahabubaa aaah
Watakuja kwa hodi ngongongo
Kusudi waniibiie wengine vimacho zongo
Hodari wakupiga madongo
Aah wapuuzie wasije kukupa hongo
Mwenzako namoyo wakizamani
Nikipenda napenda mazima
Mie nyoka wakijani vurugu huwaga sina
Sawa wasije wanyang'anyi mizizi wakakata na shina
Mi nitabaki na nani bila wewee
Mvuvi haogopi shombo nipe nivue
Kagere achezeswi ndondo husijisumbuee
Miuno ya paka chongo nisasambue
Penzi lizidi uhondo uhondoo
Mahaba
Zidisha mahaba nidate
Mahaba
Kwa joto baridi nkumbatee
Mahaba
Uwe ulimi niwe matee
Mahaba
Mahabubaa aaah
Mahabubaa oooh mahabuba aaah
Mahabubaaa mahabuuu