Nisamehe Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Nisamehe - omahde
...
nisamehe
intro
baba naja kwako
kama mwana mpotevu nisamehe
baba naja kwako
kama mwana mpotevu nisamehe
nilikukosea nikapoteA
nimeteseka narejea
nikubalie nikumbatie
nami makosa sitorudia
chorus 1
baba umetamalaki hakuna kama wewe
baba umetamalaki hakuna kama wewe
baba umetamalaki hakuna kama wewe
baba umetamalaki hakuna kama wewe
verse
wewe ndio alpha na omega
asifiwe umepata kuona
mwanangu jikaze kasoma
hivo ndio mama alisema
tumwite yeye jalali
pia twende kanisani
sije bakia njiani
ukikosa omba samahani
bridge 1
baba naja kwako Leo
nipe wema wako Leo
nikae kando Yako leo
niwe kondoo wako Leo*2
chorus
baba umetamalaki hakuna kama wewe
baba umetamalaki hakuna kama wewe
baba umetamalaki hakuna kama wewe
baba umetamalaki hakuna kama wewe
verse 2
baba umetamalaki
wewe ndio mwenye haki
uabudiwe
ulitufia msalabani
ukalipa na ma deni
uhimidiwe
Sina wa kumwita dady
wewe ndio number one
usujudiwe
Ebenezer Adonai
tena wewe hubagui
uinuliwe
bridge 2
one day Nita drive Benz
one day Nita sign check
One day nitafly high
one day Nita own house
baba umetamalaki hakuna kama wewe
baba umetamalaki hakuna kama wewe
baba umetamalaki hakuna kama wewe
baba umetamalaki hakuna kama wewe