Hakuna Matata Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Hakuna Matata - Octopizzo
...
Hakuna Matata Lyrics
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Jambo, jambo bwana
Mambo, mtaani bana
Form, gani sasa
Pizzo de King and you know it
Kenya hakuna matata
Na daily watu wanaukata
Kenya hakuna matata
Njaa mob Turkana
Kenya hakuna matata
Politician wanatukanana
Bei ya unga juu, chapo dunga juu
Fare kwa mat juu
Rat rat chuom chuom panya route ndo zetu
Kenya hakuna matata, nchi ya kitu kidogo
Kenya hakuna matata, afande anadai hongo
Jambo, jambo bana
Eeh jo kwa hawa ma tourist wanakuja hii area
Jo msijaribu kudanganya jo
Mzee unaskia huku ni kata sana
Pizzo de King and you, know it
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Kenya hakuna matata
Jambo, jambo bwana
Mambo, mtaani bana
Form, gani sasa
Jambo, jambo bana