Strawberry Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Strawberry - Ramsey (TZ)
...
Nitakupa furaha, uzidi kung'ara ng'ara
we ni wangu pacha, sipakaraba
wanokuona kwa mengi, wana mtima nyongo..???
vyao visa visasi, wapeleke congo
hawana malele lele... (lelelele)
hawajui kuku wa mayai, hatagishwi kwa mchele mchele
hawana malele lele... (lelelele)
hawajui kuku wa mayai, hatagishwi kwa mchele mchele
kwani nishakufa kimahaba, mfupa unga mwili wote chenga
nibebeshe pendo lako toni saba, moyo uzidi kukupenda
nishikishe pendo lako pendo lako
nishikishe pendo lako
kwangu uko peke yako, peke yako
kwangu uko peke yako, peke yako
hawana malele lele.. lelelele
hawajui kuku wa mayai hatagishwi kwa mchele mchele
hawana malele lele, lelelele hawajui kuku wa mayai, hatagishwi kwa mchele mchele