Maya Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Maya - King Adri
...
Vers 1
Adriii
Ningejua moyo wangu varanda
Ningekianza hata kikanga kupamba
Ngoja nijiuliizee ni lipi kosa langu
Nilipambana yani bamba to bamba
Kumbe wezangu wanawanga njia panda
Kule kukonda kote maradhi ni wewe
Aaaaaaah aaaaaah
Kama kukupenda basi
Majaliwa yamepata madhara
Nilipompa nafasi moyo wangu
Kafanya jalala
*Bridge*
Natamani ungenipenda
Ila moyo umesalenda
Moyo matundu mfano wa tenga maayaa
Mie kwako mfu mtengwa
Nilong'ang'ana kupeeenda yani kwako
Sina la maaana Basi ujueeeee
Chorus
Napumua kwa shida maya (maya)
Mmmh mmmh (maya)
Napumua kwa shida maya (nihurumieee eeh eeeh)
Napumua kwa shida maya (maya)
Napumua kwa shida maya
Na kwako mi ndo nishapwaya
Sioni thamani yangu
Vers 2
Kwenye kisamvu kaweka kasa
Mjengezi leo namikasa
Si nduguyo ukamwita kaka imeniuma
Mvua nyavu natoka kapa
Kaweka magongo na matabaka
Haki yangu nabeba marapa imeniuma
Basi ungejaribu hata nistili
Utazame upande wa pili
Kinachoniuuuumaa aaah nimazoeaaa
Pekupeku mkanyanga mbigili
Niloishiwa maneno ya nadhiri
Kinachoniuumaa aaah nimazoeeee
Napopapasa sikuoni
Niyaonayo magenii
Haya maumivuuuu yalobaki kusemaa
*Bridge*
Natamani ungenipenda
Ila moyo umesalenda (umesarenda)
Mie kwako mfu mtengwa
Nilong'ang'ana kupeeenda (kupeenda)
ai Wewe
*Chorus*
Napumua kwa shida maya (maya)
Mmmh mmmh (maya)
Napumua kwa shida maya (nihurumieee eeh eeeh)
Napumua kwa shida maya (maya)
Napumua kwa shida maya
Na kwako mi ndo nishapwaya
Sioni thamani yangu